Wanawake 1,316 Waachiwa Majukumu na Wanaume Zanzibar

Na. Zuhura Juma, PEMBATAASISI ya Milele Zanzibar Foundation (MZF) imegundua changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii, ikiwemo familia 1,316 kuongozwa na mwanamke kati ya familia zaidi ya 14,000 walizozifanyia utafiti katika shehia 22 za Unguja na Pemba.Katika utafiti huo pia waligundua  kuwa, zaidi ya asilimia 50 ya nyumba ndani ya shehia hizo, hazina huduma ya umeme na maji, udhaifu wa kamati za skuli kutokana na kukosa vitendea kazi, ukosefu wa vyoo kwa watoto wenye ulemavu.Changamaoto nyengine zilizoibuliwa na Milele ni ukosefu wa maktaba, maabara, uchache wa madarasa, upungufu wa madaktari na nyumba katika...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News