Wapinzani Uganda wafurahi Besigye, Bobi Wine kukutana

KAMPALA, UGANDA CHAMA cha upinzani  cha Democratic Party (DP) kimeeleza kwamba kitendo cha Rais wa zamani wa Chama cha Forum for Democratic Change (FDC), Dk. Kizza Besigye na Mbunge wa Jimbo la  Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine kukutana ni hatua moja nzuri ya kujenga umoja ndani ya upinzani. Kauli ya chama hicho imekuja baada ya kuwapo lawama kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kuhusu kitendo cha wanasiasa hao maarufu kukutana. Hata hivyo, Msemaji wa DP, Kenneth Kakande alisema kwamba kikao hicho ni...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News