Wapinzani waiburuza serikali mahakamani

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Vyama vinane vya kisiasa nchini vimefungua shauri la kupinga Sheria ya Vyama vya Siasa katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) lililopewa namba 03/2019. Sheria hiyo namba 1 ya mwaka 2019 ilisainiwa na Rais Dk John Magufuli Februari 13, mwaka huu baada ya muswada wa sheria hiyo kupitishwa na Bunge mwaka jana. Akizungumza katika mkutano wa vyama hivyo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 15, kwa niaba ya wenzake Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia a Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema waliamua...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News