Warithi wa May wachuana

LONDON, UINGEREZA BAADA ya mchakato kwa kuchukua fomu  kumpata mrithi wa Waziri Mkuu anayeondoka madarakani nchini Uingereza, Theresa May kufungwa, wagombea wa nafasi hiyo wameanza kujinadi huku wakionekana kutofautiana kuhusu muda wa nchi hiyo kujindoa Umoja wa Ulaya (EU). Jumla ya wagombea 11 wamejitokeza kuwania nafasi hiyo na kati yao anayepewa nafasi kubwa ya kushinda ni  Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson Kiongozi wa zamani wa Bunge la Uingereza Andrea Leadsom ambaye naye anawania nafasi hiyo amesema kujiondoa EU ifikapo mwishoni mwa mwezi Oktoba ni jambo gumu mno lakini...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News