Wasafirishaji Dawa za Kulevya Wazidi Kubanwa.....Kamishna Jeneral Rogers Sian’ga ataka watanzania kuunganisha nguvu

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Rogers Sian’ga amesema kwa sasa wamefanikiwa kidhibiti njia ambazo zilizokuwa zinatumiwa na wafanyabiashara wa dawa za kulevya kuingiza dawa hizo nchini.Amesema kwa sasa njia ambayo inatumiwa na baadhi ya wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa hizo imebaki ya Kusini ambako dawa zinapitishwa kutokea nchini Msumbiji na tayari wameweka mikakati ya kuidhibiti njia hiyo.Sian’ga amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu Kongamano linalotarajiwa kufanyika Februari 13 ambalo litawakutanisha wasanii wa fani mbalimbali nchini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News