Wasafirishaji Wa Mirungi Sasa Waja Na Mbinu Ya Kujigeuza Wanafunzi

WAFANYABIASHARA na Wasafirishaji wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi wamekuja na mbinu nyingine mpya ya kujigeuza wanafunzi na kisha kuficha Mirungi katika mabegi madogo yanayotumiwa na wanafunzi kuhifadhi Daftari kwa lengo la kukwepa mkono wa askari Polisi.Mbinu nyingine ambazo jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro imezigundua hivi karibuni ni pamoja na kutumia magari ya Kifahari yakiwemo Toyota Land Cruser ,Toyota Alphasad,Toyota Vanguard huku mbinu nyingine zikiwa ni kufanyia mabadiliko gari aina ya Toyota Noah ili kurahisisha ubebaji wa Mirungi kwa kificho.Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi wa Polisi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Saturday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News