Washindi wa Promosheni ya EzyPesa Kupitia Droo ya Pili ya Mwezi Wakabidhiwa Zawadi Zao

Mkuu wa Zantel Zanzibar,Bw.Mohamed Baucha (kushoto) akimkabidhi, Ilhilal General Hemed,mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja,mmoja wa washindi kupitia droo ya pili ya mwezi ya promosheni ya  Zantel ya ‘Tumia EzyPesa Ushinde’katika hafla iliyofanyika Unguja.Wengine katika picha ni Maofisa wa kampuni hiyo,Meneja wa Bidhaa kitengo cha EzyPesa,Leonard Kameta (kushoto) na Meneja wa Chapa ya Zantel,David Maisori...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News