Wasichana vinara matokeo kidato cha VI

Na WAANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita, huku ufaulu ukiwa umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka jana hadi 98.32 mwaka huu. Kwa mujibu wa matokeo hayo, wasichana waliofaulu ni 37,219 sawa na asilimia 99.11 ya wote waliofanya mtihani, huku wavulana waliofaulu wakiwa ni 50,850 sawa na asilimia 97.75. Akitangaza matokeo hayo jana mjini Unguja Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde, alisema ufaulu huo umeongezeka ikiwa ni sawa na asilimia 0.74. Alisema mtihani huo uliofanyika Mei 6 hadi 23, mwaka...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 12 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News