Wastaafu 10,000 wa PSSSF hawajulikani walipo

Na NORA DAMIAN -DAR ES SALAAM  WASTAAFU 10,500 kati ya 124,500 wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), hawajulikani walipo baada ya kutojitokeza kuhakikiwa tangu uhakiki wa wastaafu wa mfuko huo uanze Desemba mwaka jana. Kabla kulikuwa na mifuko ya LAPF, GEPF, PPF na PSPF ambayo iliunganishwa na kuundwa mfuko wa PSSSF unaoshughulikia watumishi wa umma na NSSF unaoshughulikia sekta binafsi. Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkuu wa Uhusiano wa PSSSF, Eunice Chiume, alisema wanafanya uhakiki wa wastaafu na wategemezi wao Tanzania Bara na Visiwani ili kutambua...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News