Wastaafu 10,000 Wa PSSSF Waliokuwa Wanadai Malimbikizo Ya Pensheni Ya Mkupuo Na Ile Ya Kila Mwezi Wamelipwa Bilioni 880

Na mwandishi wetu.MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, (PSSSF) umefanya malipo ya zaidi ya shilingi bilioni 880 kwa wastaafu elfu 10,000 ambao walikuwa wanadai malimbikizo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi, Meneja Kiongozi wa Mfuko huo Bi. Eunice Chiume amesema.Amesema malipo hayo yamefanyika katika kipindi cha mpito kilichotolewa na serikali kuanzia  Agosti 2018 hadi Februari 2019 hii ikiwa ni chini ya mwaka mmoja tangu Mfuko huo uanze kutekeleza majukumu yake Agosti 1, 2018 baada ya serikali kuunganisha Mifuko minne ya Hifadhi ya Jamii, ambayo ni...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News