Wastaafu 10,500 PSSSF watakiwa kufanya uhakiki

Anna Potinus – Dar es salaam Mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma (PSSSF), umetoa wito kwa wastaafu kuhakikisha wanafanya uhakiki mara kwa mara na kuachana na tabia ya kupuza ujumbe wa meseji wanaotumiwa kwa lengo la kuwakumbusha kufanya zoezi hilo ili kuepuka usumbufu pembeleni. Wito huo umetolewa leo Jumatano Juni 12, na Meneja Kiongozi Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa mfuko huo Eunice Chiume, alipotembelea ofisi za New Habari 2006 (Ltd), ambapo amesema kuwa wastaafu 10,500 kati ya 124,500 hawajafanya uhakiki hadi sasa. “Wastaafu 10,500 kati ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News