Wa-Sudan waling’ang’ania jeshi, kiongozi wa Mapinduzi naye ang’olewa

WAZIRI wa Ulinzi wa Sudan, ambaye Ijumaa ya tarehe 12 Aprili 2019, aliapishwa kuwa kiongozi mpya wa nchi hiyo, kuchukua nafasi ya Rais Omar al-Bashir, hatimaye amejiuzulu. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Awad Ibn Auf, alitangaza uamuzi huo jana Ijumaa, kupitia televisheni ya taifa. Nafasi yake imechukuliwa na Jenerali wa jeshi anayeheshimika, Luteni Jenerali Abdel Fattah ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Saturday, 13 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News