Wataalam wa mazingira watahadharisha ongezeko la joto duniani

Wajumbe na waatalamu wa mazingira kutoka karibu mataifa 200 duniani wameanza mazungumzo muhimu ya Umoja wa Mataifa juu ya mabadiliko ya hali ya Hewa COPA24 nchini Poland, wakati tahadhari ikitolewa na wito wa kuchukuliwa hatua za haraka na dharura kukabiliana na kitisho cha ongezeko la joto duniani....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Monday, 3 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News