Watahiniwa wa Kidatu Cha Sita Mwaka Huu Wamefaulu Vizuri Mitihani Yao 2019.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania Dkt. Charles E. Msonde, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, akitowa matokea ya Mitihani ya Taifa ya Kidatu cha Sita kwa mwaka huu, Mei 2019, katika ukumbi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mazizini Zanzibar.Na.Mwanajuma Juma. Zanzibar.JUMLA ya wanafunzi wapatao 88,069 wamefaulu mitihani yao ya kidato cha sita ikiwa ni sawa na asilimia 98.32 ya watahiniwa waliofanya mitihani.Matokeo ya mitihani hayo yalitangazwa jana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Charles Enock Msonde mbele ya waandishi wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News