Watatu Wafariki Dunia Baada ya Kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya moram jijini Arusha

Watu watatu wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Mkoa Mount Meru, baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Moram inayotumika kwa ajili ya shughuli za ujenzi, yaliyopo eneo la Moivaro Kata ya Moshono.Tukio hilo limetokea umbari wa Kilometa nane kutoka katikati ya Jiji la Arusha, baada ya mabonge makubwa ya Moram kuporomoka, wakati watu hao wakiwa kwenye shughuli ya uchimbaji.Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana, alisema tukio hilo lililotokea jana asubuhi.Alisema tangu kutokea ajali hiyo vikosi vya uokoaji, kutoka mamlaka za...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News