Watatu wapoteza maisha katika tetemeko lingine Indonesia

Watu watatu wamepoteza maisha baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea nje kidogo ya visiwa vya Java na Bali nchini Indonesia, hali iliyo ongeza majonzi kwa wakazi wa kisiwa hicho ambacho kimeemewa kutokana na maafa....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News