Watu 32 wajiteketeza kwa moto kuweka rekodi ya Dunia

JOSEPH HIZA NA MITANDAO WATU wenye kudhamiria kitu iwe chenye manufaa fulani kwa maisha yao, au ambacho kitaandika historia isiyofutikia huwa hawakati tamaa katika kufikia lengo walilojiwekea. Hawa ni watu, ambao hawawezi kuwa na amani bila kufanikiwa malengo na ndoto zao. Huwa hawajali ugumu au changamoto yoyote iliyopo mbeleni, wala kukata tamaa katika harakati za kufikia lengo lao. Huweza kurudia njia moja au mbalimbali ama kufanya majaribio ya kufanikisha dhamira hizo. Kwa sababu hiyo, huwa wana sababu nzito ya kutekeleza hiyo dhamira bila kujali iwapo kulifikia lengo hilo kunahitaji kuhatarisha...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News