Watu wanane wafungwa maisha kwa kuchoma moto kituo cha polisi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kifungo cha maisha jela washitakiwa wanane baada ya kutiwa hatiani katika kesi ya kuchoma moto Kituo cha Polisi cha Bunju A jijini Dar es Salaam huku wengine 10 wakiachiwa huru....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News