Watu wasiojulikana waua watatu Kilimanjaro, yumo mtoto wa miaka minane

Safina Sarwatt, Kilimanjaro Watu watatu wameuwawa kikatili mkoani Kilimanjaro akiwamo mtoto wa miaka Nane kuuwawa kwa kukatwa katwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Akithibitisha tukio hilo leo Aprili 15, Kamanda wa PolisI mkoani humo Hamis Issah amesema tukio la mtoto kukatwa mapanga lilitokea april 14 mwaka huu. Amesema mtoto huyo akiwa amelela na mama yake watu wasiojulikana walimvamia na kumkata mapanga shingoni na mkono wa kulia. “Mtoto Sarafina Williamu (8) ambaye alikuwa mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Mavula, kabla ya kifo chake alifanyiwa tukio la udhalilishaji ambapo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News