Watumiaji simu wapewa angalizo

Wakati mjadala kuhusu usajili mpya wa laini za simu ukiendelea kushika kasi, Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA- CCC) limewataka watumiaji wa simu za mkononi kutafuta taarifa sahihi kutoka mamlaka husika na kupuuzia taarifa potofu zinazosambazwa kwenye mitandao....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News