Watumishi Wa Umma Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Kuzingatia Maadili Ya Utumishi Na Kujiepusha Na Rushwa.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Watumishi wa Umma kote nchini wametakiwa  kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma na kujiepusha na masuala ya rushwa na utovu wa nidhamu kazini Rai hiyo imetolewa  Mei 14,2019  jijini Dodoma na Naibu katibu mkuu Utumishi, Bw.Francis Michael katika ufunguzi wa  mkutano Mkuu wa Mwaka wa Baraza la wafanyakazi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi hesabu za Serikali C.A.G. Bw.Michael amesema kuna baadhi ya watumishi wa Umma wamekuwa wakikiuka maadili ya kazi na taaluma zao na kujikita wakiwa watovu wa nidhamu na kujikita kwenye masuala ambayo yako kinyume na utaratibu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News