Wazee Sebleni na Welezo wapatiwa mafunzo ya kukabiliana na maafa

 Mkuu wa Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar Ali Faki Hamdani akitowa elimu kwa Wazee jinsi ya kujikinga na maafa huko kituo cha kulelea Wazee Sebleni. Mkufunzi kutoka Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar Ali Haji Khamis akitoa mafunzo ya vitendo ya kumpatia huduma ya kwanza mzee Mohamed Said Abdalla huko katika Kituo cha kulelea Wazee Sebleni. Baadhi ya Wazee wa kituo cha kulelea wazee Sebleni na Welezo wakifuatilia kwa makini mafunzo ya kumpatia Mgojwa huduma ya kwanza Picha na Khadija Khamis Idara ya Habari Maelezo Zanzibar  Baadhi ya Wazee wa kituo cha kulelea...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News