Waziri ataka bunge limpe tuzo Kikwete

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amesema kama Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingekuwa linatoa tuzo, angeshauri litoe kwa Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Aweso ametoa ushauri huo leo tarehe 14 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma mbele ya Naibu Spika Tulia Ackson, akisema kwamba Kikwete amekuwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News