Waziri Bashungwa aanza kutema cheche

Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Innocent Bashungwa amesema si jambo zuri kila jambo kutolewa maelezo na Rais John Magufuli, kuwataka watumishi wa wizara hiyo kujituma na si kusubiri kutumwa na kiongozi mkuu huyo wa nchi.  ...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News