Waziri Bashungwa atauweza mfupa uliowashinda wenzake?

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa anakabiliwa na kazi ngumu ya kuuza korosho takriban tani 200,000 za mwaka jana zinazodaiwa kupoteza ubora baada ya kucheleweshwa kuuzwa, ikiwa ndiyo kosa lililosababisha mtangulizi wake, Joseph Kakunda kuenguliwa kwenye nafasi hiyo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News