Waziri Gavu Afungua Mafunzo ya Siku 10 ya Mapishi na Ukarimu Kwa Wahudumu wa Viongozi na Wageni Zanzibar..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akifungua Mafunzo ya Siku Kumi kwa Wahudumu wa Viongozi na Wageni Zanzibar, Mafunzo hayo Yanatolewa na Wakufunzi kutona Taasisi ya China Natinal Research Institute of Food and Fermentation Industries Corporation Ltd.(CNRIFFI) uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongezwa kwa juhudi anazoendelea kuzichukua katika kuhakikisha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakuwa na wataalamu na nguvu kazi yenye ujuzi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News