Waziri Jafo Atoa Rai Kwa Wazazi Kutowasumbua Watoto Kuwapeleka Shule Binafsi.

Na.Faustine  Gimu  Galafoni,Dodoma. WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)SELEMANI JAFO Amewataka wazazi kutowasumbua watoto wao kwa kuwahamisha shule za serikali na kuwapeleka shule binafsi. Akizungumza   leo Julai 12,2019 na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma waziri Jafo  amesema   shule za serikali  zimefanya vizuri ikilinganishwa na ufaulu wa hapo nyuma ambapo kila mtu alizibeza   Waziri Jafo  amebanisha  siri ya shule za serikali kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha sita mwaka 2019 kuwa ni kutokana na uwekezaji uliofanywa kwenye sekta ya elimu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 12 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News