Waziri Kabudi ‘ashikwa kooni’ kutema uwaziri

PROFESA Paramagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ametakiwa kujiuzulu kwa madai ya kushindwa kumshauri vizuri Rais John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 15 Mei, 2019 na Anthony Komu, Mbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), wakati akichangia Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News