Waziri Kabudi Awapa Neno Wamiliki wa Hoteli Jijini Dar

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka wamiliki na wafanyabiashara wa hoteli jijini Dar es salaam kutumia fursa ya kibiashara itakayotokana na ujio wa wageni zaidi  ya 1,000 watakaoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Agosti  2019.Profesa Kabudi ameyasema hayo leo Jumamosi Juni 15, 2019 jijini Dar es Salaam alipokutana na kufanya mazungumzo na wamiliki na wafanyabiashara wa hoteli.Amesema wizara yake itafanya kazi kwa ukaribu na wadau hao na kuwataka kutoa huduma bora.Waziri huyo amewataka wamiliki na wafanyabiashara hao wa hoteli kuzingatia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News