Waziri Lugola aagiza Polisi kuwakamata wanaowapa mimba Wanafunzi

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amelitaka Jeshi la Polisi  wilayani Bunda, mkoani Mara, kuwakamata wazazi wanaowatumia wanafunzi katika shughuli za kilimo na mifugo na kuwasababishia kukatisha masomo yao.Pia Waziri Lugola amewaagiza Polisi hao kuwakamata watu wanaowarubuni wanafunzi wa kike na kuwasababishia kukatisha masomo kwa kuwapa mimba.Waziri Lugola, ametoa kauli hiyo akiwa wilayani Bunda katika  ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ndani ya jimbo lake la Mwibara, ambapo amesema kuwa lazima Watoto waendelezwe kielimu ili iwaletee manufaa kwao na kwa taifa.“Nina taarifa baadhi ya wazazi uwatumikisha Watoto wao kufanya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 9 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News