Waziri Lugola Aibukia Kituo Cha Polisi Katoro, Awahoji Watuhumiwa Makosa Yao Wakiwa Wamepanga Foleni Mahabusu

Na Mwandishi Wetu, GeitaWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Polisi Katoro mkoani Geita  na kuwahoji watuhumiwa wa makosa mbalimbali waliokuwepo katika mahabusu kituoni hapo.Lugola ambaye alikua safarini kuelekea Mkoani Kigoma kwa ziara yake ya kikazi, ghafla aliibukia katika kituo hicho akitaka kujua utendaji kazi wa polisi pamoja na makosa mbalimbali wanayowakabili watuhumiwa waliopo katika mahabusu hiyo na pia kujua changamoto mbalimbali zinazowakabili askari wa kituo hicho.Lugola aliowasili kituoni hapo jana mchana na akaelekea moja kwa moja mahabusu na akaomba kitabu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 24 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News