Waziri Malusi Gigaba, amejiuzulu Afrika kusini baada ya kuanikwa mitandaoni akijichua

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini,Malusi Gigaba, amejiuzulu nafasi yake hiyo wiki mbili baada ya kipande cha video inayomuonesha akijichua kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa mapana nchini humo....

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News