Waziri Mhagama Azindua Taarifa Ya Utafiti Wa Viashiria Na Matokeo Ya Ukimwi Wa Mwaka 2016 – 2017

Na; Mwandishi WetuWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu amezindua taarifa ya utafiti wa viashiria na matokeo ya ukimwi wa mwaka 2016 – 2017 (Tanzania HIV Impact Survey) tarehe 13 Aprili, 2019 Jijini Dodoma.Akizungumza wakati wa hafla hiyo alieleza kuwa utafiti huo ni kielelezo tosha kuwa Serikali imeendelea kupambana na ugonjwa wa Ukimwi kwa kuonesha juhudi za kupungua kwa  kiwango cha maambukizi mapya na kupungua kwa vifo vinavyotokana na Ukimwi.  “Tafiti zinaonesha maambukizi mapya ya VVU yamepungua kutoka watu 80,000 mwaka...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News