Waziri Mhagama:Wakamateni wastaafu watakaoghushi nyaraka

UPENDO MOSHA-MOSHI WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, ameiagiza mifuko ya hifadhi ya jamii nchini, kuwachukulia hatua wastaafu watakaobainika kufanya udanganyifu na kujipatia mafao yasiyo halali. Waziri Mhagama, alitoa agizo hilo jana wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani Kilimanjaro ya kutembelea ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSSSF kwa lengo kuangalia utendaji kazi wa mifuko hiyo. Katika maelezo yake, Mhagama alisema kwamba, kumekuwa na baadhi ya wastaafu wasiokuwa waaminifu ambao wamekuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News