Waziri Mkuu Abaini Ubadhilifu Halmashauri Ya Mpwapwa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema atatuma timu maalum kuchunguza wizi unaofanyika kupitia ukusanyaji wa mapato katika halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa na kwamba hakuna atakayethubutu kuharibu ushahidi kwa kuwa nyaraka zote za ukusanyaji anazo.Ameyasema hayo jana (Jumatano, Oktoba 10, 2018) wakati akizungumza na wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Dodoma.Amesema hayo baada ya kubaini ubadhirifu kwenye makadirio na ukusanyaji wa mapato unaofanywa na baadhi ya watendaji wa Idara ya Fedha na Mipango kwenye Halmashauri hiyo.  Waziri Mkuu amesema maeneo ya ubadhirifu ambayo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 10 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News