Waziri Mkuu afungua kongamano la nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua taarifa ya utekelezaji wa uwezeshaji wananchi kiuchumi, kwenye Kongamano la Nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, lililofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 15.2019, kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’ Issa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa Baraza hilo Dk. Festus Limbu.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia wananchi na baadhi ya viongozi wa serikali,kwenye Kongamano la Nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, lililofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini DodomaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News