Waziri Mkuu Aitaka Wizara ya Kilimo iwawezeshe watafiti katika kituo cha Utafiti cha zao la michikichi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iwawezeshe watafiti katika kituo cha Utafiti cha zao la michikichi cha Kihinga mkoani Kigoma ili waweze kuongeza kasi ya uzalishaji wa mbegu bora za zao hilo.Amesema Serikali imeamua kuongeza nguvu kwenye zao hilo la michikichi, hivyo Wizara ya Kilimo haina budi kukiwezesha kituo hicho kwa lengo la kuzalisha mbegu bora zitakazosambazwa kwa wakulima.Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumapili, Februari 17) wakati alipotembelea kituo cha Kihinga kwa ajili ya kukagua shughuliza uzalishaji wa mbegu za michikichi akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 17 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News