Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kupokea Watalii 343 Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo jioni Jumapili Mei 12  anatarajiwa kuwapokea watalii 343 kutoka China wanaokuja nchini kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii kwa siku tano.Mara baada ya watalii hao kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) itafanyika hafla fupi ya kuwakaribisha na kesho wataanza safari ya kutembelea vivutio  huku baadhi yao wakishiriki kongamano la uwekezaji sekta ya utalii litakalofanyika kesho.Ujio wa watalii hao unatokana  Bodi ya Utalii (TTB) kuingia makubaliano na kampuni ya Touchroad International Holdings Groups ya China Novemba mwaka jana wakati wa ziara ya kutangaza...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 12 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News