Waziri Mkuu Majaliwa azindua rasmi soko la dhahabu Geita......Atoa Onyo Kwa Wadau wa Madini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa tahadhari kwa wadau wote wa madini kuwa atakayekamatwa anatorosha madini, atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo utaifishaji wa madini atakayokuwa akiyatorosha. Pia amewataka viongozi na watendaji wote wa Serikali wasimamie kwa weledi, uaminifu na uadilifu, sheria, kanuni na miongozo kuhusu sekta ya madini kwa lengo la kudhibiti utoroshwaji wa madini hususan dhahabu kwenda nje ya nchi.Waziri Mkuu ametoa tahadhari hiyo leo (Jumapili, Machi 17, 2019) wakati akifungua soko la madini la Mkoa wa Geita. Ufunguzi wa soko hilo ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News