Waziri Mkuu mstaafu apata pigo

ELIZABETH Sumaye, aliyekuwa mama mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amefariki dunia jana tarehe 7 Novemba 2018 nyumbani kwake kijijini Endasaki wilayani Hanang mkoa wa Manyara. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa zinaeleza kuwa, marehemu Elizabeth amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo na mapafu. Kufuatia msiba huo, chama cha Chadema kupitia Katibu Mkuu wake, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News