Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye augua gafla mkoani Tanga

Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ameumwa ghafla akiwa Mkoani Tanga kwenye shughuli za Chama chake cha CHADEMA  ambapo yeye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.Taarifa iliyotolewa na Tumaini Makene imesema amekimbizwa Hospitali ya Bombo na kupatiwa matibabu na inaelezwa kuwa hali yake inaendelea vizuri.“Mipango ya kumsafirisha kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi inafanyika” Amesema Mkuu wa Idara ya Mawasiliano CHADEMA Tumaini Makene ...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News