Waziri Mkuu: TFF Hakikisheni Tunaibuka Na Ushindi AFCON

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lihakikishe Tanzania inaibuka na ushindi katika fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 barani Afrika (AFCON) yanayotarajiwa kufanyika mwaka huu nchini Tanzania.Ametoa agizo hilo  jana asubuhi (Alhamisi, Februari 7, 2019) Bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge waKilolo, Venance Mwamoto.Mbunge huyo alitaka kufahamu Serikali imeyahusishaje...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News