Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Asalimiana na Bondia Hassan Mwakinyo

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Bondia Hassan Mwakinyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Septemba 14, 2018. Mwanamasumbwi huyo hivi karibuni alimtwanga kwa TKO, Bondia Sam Egginton wa Uingereza katika pambano lililofanyika Birmingham. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Bondia Hassan Mwakinyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Septemba 14, 2018. Mwanamasumbwi huyo hivi karibuni alimtwanga kwa TKO, Bondia Sam Egginton wa Uingereza katika pambano lililofanyika Birmingham.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)WAZIRI MKUUKassim Majaliwa amempongeza mwanamasumbwi wa Kitanzania Bw. Hassan Mwakinyo (23) kwa kumchapa bkondia...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News