Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wac Tanzinia Mhe. Kassim Majaliwa Akutana na Watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Zao la Michikichi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na watendaji wa Taasisi ya Utafi wa zao la Michikichi alichokiitisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 8, 2019.  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara  na Waziri wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News