Waziri: Serikali kulipa fidia kutegemea hali ya fedha

SERIKALI imesema inaendelea na mpango wa utaratibu  wa kulipa fidia stahiki za wananchi kadri hali ya fedha itavyoruhusu kwa mujibu wa sheria ya utwaaji ardhi. Hayo yalielezwa  bungeni jana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi wakati akijibu swali la Mbunge wa Mtambile Masoud Salim(CUF). Katika swali lake Salim alitaka kujua kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa na jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) pasipo kulipwa fidia . Salim alihoji Serikali inampango gani wa haraka kulipa fidia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News