Waziri wa Afya Autaka Uongozi wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuweka mashine kwa ajili ya kupimia ugonjwa wa Ebola

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameutaka uongozi wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuweka mashine kwa ajili ya kupimia ugonjwa wa Ebola kwa wasafiri wanaoingia nchini.Waziri Ummy ametoa maagizo hayo leo Jumamosi Juni 15, 2019 wakati akifanya ukaguzi kwenye uwanja huo kuangalia kama kuna mashine  za kupimia ugonjwa huo ambao umeripotiwa kuibuka nchini Uganda.Amesema Serikali kupitia  wizara yake watatoa mashine kwenye kivuko cha Busisi, Kigongo na kituo cha mabasi cha Nyegezi jijini humo.Pia,  kwa wasafiri hao wa mabasi kutoka nchi jirani wanaotumia mikoa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News