Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu Akufungua Mdahalo wa Ushirikishwaji wa Vijana Katika Siasa Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na chama  cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na chama  cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja. Mwenyekiti...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News