Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Anayeshughulikia Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Mhagama.Azindua Taarifa ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Kwa Mwaka 2016 – 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizindua Taarifa ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi wa Mwaka 2016 – 2017 (Tanzania HIV Impact Survey). (Kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Bara (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko, Naibu Waziri wa Afya, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman. (Kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Dawa za Kulevya, Mhe. Osca MukazaWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News