Wema awashauri wasanii wenzake kutambua thamani zao

Elizabeth Joachim ,Dar es Salaam Muigizaji Wema Sepetu amewashauri wasanii wenzie kutengeneza malengo yao katika uigizaji ili waweze kujitangaza zaidi na kujulikana katika masoko ndani na nje ya nchi. Akizungumza katika kongamano la waigizaji lililoandaliwa na Bodi ya Filamu wakishirikiana na Chama cha Waigizaji Taifa lililofanyika leo Aprili 15 Jijini Dar es Salaam , Wema amesema muda sasa umefika wa wasanii kujitengenezea thamani katika uigizaji. “Wasanii tunatakiwa tuamke na tujue jinsi ya kujitengenezea uthamani wetu wa baadae kesho ukizeeka ukijiangalia bado unajiona unathamani katika jamii na thamani haiji yenyewe...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News