Wizara ya Kilimo yapata pigo, watumishi watano wafariki ajalini

WATUMISHI watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Njirii, Manyoni mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Ajali hiyo iliyohusisha gari ya wizara hiyo yenye namba za usajili STK 8925 na roli la mafuta la kampuni ya Mount Meru ya Rwanda. Watumishi wote watano waliokuwemo katika gari ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 21 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News